Showing posts with label Man U. Show all posts
Showing posts with label Man U. Show all posts

Tuesday, 13 June 2023

MANCHESTER UNITED SHARES HIT TWO-MONTH HIGH ON SPECULATION OVER TAKEOVER BID

Reuters

Shares of Manchester United (MANU.N) jumped 13% to hit a two-month high on Tuesday after a report hinted that Qatar's Sheikh Jassim bin Hamad al-Thani was likely to succeed with his takeover bid for the English football club.

Qatar's Al-Watan newspaper reported on Tuesday that Sheikh Jassim, son of a former prime minister of the country, was poised to be announced as the preferred bidder of the Premier League soccer club, CNBC said.

Sunday, 21 April 2019

EPL: EVERTON FC UTTERLY DEMOLISHES A WEAK MANCHESTER UNITED SIDE


Everton looked in control from start to finish while Manchester United looked confused and more like a 3rd tier team today with Solskjaer apologising at the end after a 4-0 thrashing...

Saturday, 20 August 2016

EPL: MANCHESTER UNITED YAICHAPA SOUTHAMPTON 2-0


Manchester United wameshinda mechi yao ya 2 katika msimu mpya wa premiership dhidi ya Southampton 2-0...Zlatan Ibrahimovich alifunga mabao yote na kuipa timu yake mpya points 3...


Bao la kwanza lilikuja mnamo dakika ya 36 na bao la 2 dakika ya 56 kupitia tuta...Sasa Manchester United wanaongoza ligi waliwa na points 6...Pogba alicheza mechi yake ya kwanza kabisa toka anunuliwe kwa bei mbaya sana...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 3 August 2016

WAYNE ROONEY: MECHI YA KIHISANI YA WAYNE ROONEY NA EVERTON KUONYESHWA LIVE KWA MARA YA KWANZA FACEBOOK


Mechi ya kihisani ambayo mapato yake yatasaidia watu wasiojiweza ya Wayne Rooney akiwa na Manchester United na Everton itarushwa live kwa mara ya kwanza na facebook...Mechi hiyo itachezwa leo na unaweza kuiangalia kupitia website ya Manchester United au kwenye site ya facebook...ni miaka 12 toka Rooney atoke Everton...Ni mara ya kwanza timu mbili za premier league kuonyeshwa live kwenye mtandao wa facebook...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 24 July 2016

INTERNATIONAL CHAMPIONS CUP: MANCHESTER UNITED YACHAPWA 4-1 NA DORTMUND


Manchester United imeonja uchungu wa kipido kutoka Borussia Dortmund...Man walichapwa 4-1...Dortmund walikuwa kwenye form nzuri sana kupita Man U wakati wachezaji nyota wa Dortmund hawakuwepo...Ulikuwa wakati wa wachezaji ambao sio nyota kuonyesha umahiti wao ili badae waweze kupata namba msimu ukianza...Jose Mourinho amekubali kuwa Dortmund wamejitayarisha mapema na wako safi ingawa amesema pia sio kuwa ni timu kali...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 18 May 2016

MANCHESTER UNITED: VAN GAAL AZOMEWA NA MASHBIKI


Baada ya game ya mwisho ya Manchester United ambayo ilisogezwa mbele kutokana na sababu za kiusalama kocha wa Manchester united alijikuwa akizomewa wakti anashukuru mashabiki...Van Gaal aliongea na mashabiki wachache kwani wengi waliamua kusepa mapema kutokana na kutokubaliana na jinsi kocha anavyoendesha timu...


United waliwachapa Bournemouth 3-1 na kubakia nafasi ya 5 ambayo watakosa kucheza Champions League...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 7 March 2016

EPL: LOUIS VAN GAAL AMWAKIA MATA KWA RED CARD YA KIJINGA


Kocha wa Manchester United Louis van Gaal amemwakia Mata na kusema kapata red card ya kijinga kabisa baada ya kufanya foul zote mbili ndani ya muda mfupi.

Saturday, 20 February 2016

MANCHESTER UNITED: VAN GAAL AKATA TAMAA KWA KUONA WACHEZAJI WAKUBWA WAMEMCHOKA WAKIMTAKA MOURINHO


Hali sio shwari ndani ya Old Trafford kutokana na jinsi kocha van Gaal anavyoendesha mambo...Kwa habari zinazotoka Uingereza zinasema kuwa wachezaji wakubwa wamanza kumsusia na amelijua hilo na sasa muda wowote anaweza kuondoka...Naibu Mwenyekiti wa Manchester United, Ed Woodward, bado hajaamua kumtimua van Gaal lakini inawezekana akaondoka kwakuwa wanaweza kumpoteza Jose Mourinho...Wakimpata Mourinho mapema wanaweza kumaliza nafasi nzuri na ikawasaidia katika mechi za Uefa...Bofya hapa upate habari zaidi.

Friday, 19 February 2016

EUROPA LEAGUE: MANCHESTER YACHEMSHA DHIDI YA FC MIDTJYLLAND


Manchester United wamechapwa 2-1 katika mechi yao ya "Uefa ndogo" dhidi ya FC Midtjylland...Manchester kwa ujumla hawakucheza vizuri na hiyo ni kutokana na kumpoteza Rooney na de Gea lakini bado wana matumaini katika Premiership wakijipanga vizuri...Kibarua cha van Gaal sasa kiko hatiani maana kutokana na hali hii ya majeruhi ni ngumu kufanya maajabu...Depay ndio aliyeanza kufunga bao kwenye dakika ya 37 lakini kipa aliyechukua nafasi ya de Gea alishindwa kuzuia bao la Pione Sisto dakika ya 44...Bao la ushindi lilitoka kwa Ebere Paul Onuachu kwenye dakika ya 77...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 18 February 2016

EPL: WAYNE ROONEY NJE WIKI 6


Wayne Rooney atakuwa nje kwa takriban wiki 6 kutokana na kuumia goti...Manchester United kazi iko ya kuziba pengo maana wanamuhitaji sana Rooney katika mbio za kumaliza nafasi nzuri EPL...Macho yote yako kwa dogo hatari sana Anthony Martial kuziba pengo akicheza kama striker...Martial anauwezo mkubwa kama striker na attacking midfielder...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 13 February 2016

EPL: MANCHESTER UNITED YACHAPWA NA SUNDERLAND


Sunderland sasa imejipa matumaini ya kuchomoka chini na kumaliza ligi nafasi za kati baada ya kuichapa Manchester United 2-0...Wahbi Khazri attacking midfielder anayetoka Tunisia aliwaweka Sunderland mbele baada ya dakika 3 tu kuokana na free kick iliyowachanganya Man U...


Takriban dakika ya 39 Anthony Martial aliweza kupata bao lililompita Vita Manone...Corner ya Khazri ilimkuta Lamine Kone ambae alipiga kichwa kilichomgonga de Gea na kuzama ndani...Man U sasa naona ndoto za ubingwa zinaota mabawa na pia kumaliza nafasi ya 4 itakuwa shida...


Kocha van Gaal akae mkao wa kusepa maana mechi ya leo walikuwa kama hawataki kucheza vile...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 29 December 2015

EPl: VAN GAAL AGOMA KUACHIA NGAZI


Kocha wa Manchester United Louis van Gaal amesema hakuna haja ya kuachia ngazi baada ya kutoka sare ya 0-0 na Chelsea jana...Manchester washindwa kushinda mechi 8 katika mashindano yote na wako points 5 nyuma ya timu ya nafasi ya 4...


Mashabiki waliomchoka van Gaal wanamtaka Jose Mourinho ambae alitimuliwa hivi karibuni...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 2 December 2015

VALENCIA: GARY NEVILLE KOCHA MPYA VALENCIA


Mchezaji wa zamani wa Manchester United alicheza nafasi ya beki, Gary Neville, ametangazwa kuwa kocha wa Valencia mpaka mwisho wa msimu...Pamoja na kuwa kocha wa Valencia bado anaendelea kuwa msaidizi wa timu ya taifa ya Uingereza...Alhamisi Neville akiwa na rais wa Valencia wataongea na waandishi wa habari...


Neville anamiliki timu ambayo haiko kwenye ligi inayoitwa Salford City na mmiliki wa Valencia Peter Lim...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 4 November 2015

CHAMPIONS LEAGUE: VAN GAAL AZOMEWA


Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal, alizomewa jana baada tu ya kumtoa Martial na kumuingiza Felaini...Mashabiki hawakubaliani na jinsi van Gaal anavyoendesha timu kwani sasa wanapata shida ya kupata mabao na pia maamuzi ya kuwabadilisha nafasi wachezaji mara kwa mara...Van Gaal amesema amesikia akizomewa lakini na mambo yatakuwa safi baada ya ushindi...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 5 October 2015

EPL: MANCHESTER UNITED YAZIDIWA MAAFIRA NA ARSENAL



Arsenal jana iliwapeleka shule Manchester United mpaka wakapewa homework...Manchester United waligaragazwa 3-0 ndani ya dakika 20 na ushee hivi kwa mabao ya uhakika na yenye akili...Alexis Sanchez na Mesut Ozil na walipachika mabao mawili ndani ya sekunde 74 na dadae Sanchez aliongeza kutoka 18 yards...Van Gaal pamoja na kutumia pesa kibao kununua wachezaji jana walionekana hawana uwezo wa hali ya juu na mashimo yameanza kuonekana kwenye timu yake...Arsenal sasa wako nafasi ya 2 chini ya Manchester City...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 1 October 2015

CHAMPIONS LEAGUE: MAN U WACHOMOA


Manchester United wamefanikiwa kushinda mechi yao ngumu dhidi ya VfL Wolfsburg 2-1...Bao la kwanza lilikuja mapema sana kwenye dakika ya 4 kupitia Daniel Caligiuri ambapo zilipigwa pasi kama 6 hivi...Mata alisawazisha baada ya Caligiuri kuunawa mpiwa dakika ya 34...Mnamo dakika ya 54 Mata akimpa pande Smalling na hakufanya kosa...Bofya hapa upate habari zaidi.