Juventus19:45FC Porto
(Agg 2-0)Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Leicester FC. Show all posts
Showing posts with label Leicester FC. Show all posts
Saturday, 26 October 2019
Tuesday, 14 March 2017
Friday, 25 November 2016
LEICESTER CITY FC: PLAYERS TO GET 100,000 POUNDS BONUS FOR REACHING CHAMPIONS LEAGUE KNOCKOUT STAGE
The fairy tale continues as Leicester City FC surprise their fans by performing very well at the international level as they managed to get to the knockout stage of the champions League...
Thursday, 3 November 2016
LEICESTER CITY: KASPER SCHMEICHEL SUFFERES A BROKEN HAND
Kasper Schmeichel suffered a broken hand during their Champions League game with Copenhagen that ended 0-0...He will be out of action for a month...
Thursday, 23 June 2016
LEICESTER CITY FC: VARDY AMEAMUA KUBAKIA LEICESTER
Mshambuliaji mashuhuri wa Leiceester na timu ya taifa ya England, Jamie Vardy, amesaini mkataba mpya wa miaka 4 na kuondoa gumzo la wengi baada ya club ya Arsenal kutangaza nia ya kumchukua mchezaji huyo...Msemaji wa club ya Leicester alisema "Leicester City pamoja na mwakiishi wake wamekubali kuongeza mkataba baina ya mshambuliaji huyo na mabingwa wa ligi ya England" Aidha aliongeza na kusema "natumanini mkataba huo utamaliza gumzo lililojengeka la Vardy kuhamia Arsenal baada ya club hiyo kutangaza nia"...
Vardy ambae yuko nchini France na timu ya taifa ya England, hatosema lolotehadi mashindano hayo yatakapoisha...England inajifua kujiweka tayari kupambana na Iceland...
Saturday, 4 June 2016
ARSENAL: ARSENAL WANAMTAKA JAMIE VARDY
Tuesday, 17 May 2016
CLAUDIO RANIERI: BOSS WA LEICESTER KOCHA WA MWAKA
Kocha wa mwaka ni Claudio Ranieri...Chama cha makocha kimemtunuku Claudi Ranieri kuwa Kocha wa Mwaka...Kwa upande wa Championship amechukua kocha wa Brighton Chirs Hughton...Ranieri ameipa ushindi Leicester kwa mara ya kwanza kabisa akiwa kocha wao kwa mara ya kwanza...
Ranieri amekuwa mtu wa 2 kushinda tuzo hiyo ambaye sio muingereza mwingine ni Arsene Wenger aliyeshinda hiyo tuzo mwaka 2002 na 2004...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 8 May 2016
LEICESTER CITY: LEICESTER WAKABIDHIWA KOMBE RASMI
Leicester City ndio habari ya mwaka huu kwani wameshangaza ulimwengu kwa kunyakua kombe kubwa la ligi ya Uingereza kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya timu hiyo...
Leicester walipewa gwaride la heshima na Everton na baada ya hapo Andrea Bocelli aliingia uwanjani na kocha Claudio Ranieri na kutumbuiza nyimbo ya classical...
Leicester City walifanikiwa kushinda mechi hiyo dhidi ya Everton 3-1...Vardy alifunga mabao 2 na bao la 1 lilikuwa mapema dakika ya 5 na bao lake la 2 lilipatikana dakika ya 65 kwenye tuta...
King nae alipata bao dakika ya 33...Bofya hapa upate habari zaidi.
Friday, 15 April 2016
LEICESTER CITY: DAU LA N'GOLO KANTE £20 MILIONI NA PSG WANAONGOZA MBIO ZA KUMYAKUA DOGO
N'golo Kante mwenye umri wa miaka 25 anasakwa sana PSG pamoja na timu zingine kubwa...Kwenye mkataba wake kuna kipengele kinachosema kama unamtaka Kante weka £20 milioni mezani...Dogo huyu amejitahidi sana na ameonekena kifaa ndani ya Leicester City ambao karibu wananyakua ubingwa premiership...Kante aliingia Leicester City kwa dau la chini kidogo ya £6 milioni akitokea Caen...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 11 April 2016
LEICESTER CITY FC: CLAUDIO RANIERI KOCHA WA MWEZI BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Claudio Ranieri amekuwa kocha bora wa mwezi Barclays Premiership baada ya timu yake kufanya vizuri sana na pia haikufungwa mwezi March...Ni mara ya 2 msimu huu Ranieri anachukua tuzo hiyo ya kocha wa Mwezi...Mpaka sasa Leicester au kwa jina maarufu 'The Foxes' wamepoteza mechi 3 tu...Leicester sasa wako points 10 mbele ya Tottenham na wakishinda mechi 2 tu wanatangazwa mabingwa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 3 April 2016
EPL: LEICESTER CITY WAKO MBIONI KUNYAKUA KOMBE LA PREMIERSHIP BAADA YA KUSHINDA DHIDI YA SOUTHAMPTON SIKU YA KUZALIWA MWENYEKITI WA CLUB
Leicester City dakika chache zilizopita wamefaniakiwa kushinda bao 1 dhidi ya Southampton...Captain ndio aliyewapatia bao Leicester City....Sasa wako points 7 mbele ya Tottenham na bado mechi 6 tu msimu uishe....Mechi ilikuwa nzuri na kila timu imecheza vizuri....Southampton wamejitahidi sana pamoja na hayo walinyimwa penalty lakini ndio hivyo Leicester wanayoyoma...Leo ni siku ya kuzaliwa Mwenyekiti wa Leicester F.C. na alikuwa anaangalia mpira uwanjani akapata zawadi wa bao kutoka kwa Captain...Bofya hapa upate habari zaidi.
Thursday, 24 March 2016
INTERNATIONAL CHAMPIONS CUP: LEICESTER WATACHEZA NS BARCA NA PSG
Leicester wanaoongoz ligi ya EPL watacheza na Barcelona na Paris St-Germain kwenye michuano ya kabla ya msimu wa kawaida...Timu nyingine zitazoshiriki ni Chelsea, Tottenham, Manchester City na Liverpool...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 22 December 2015
EPL: ARSENAL YAONYESHA MATUMAINI YA KUCHUKUA KOMBE
Arsenal baada ya kuwachapa Manchester City 2-1 sasa wanaona wako tayari kufukuzia kombe la premiership...Kocha wa Arsenal amesema ushindi huu unawapa Arsenal imani kushinda kombe...Arsenal sasa iko points 3 mbele ya Man City lakini iko chini ya Leicester kwa points 2...Bao la Toure mwishoni halikuzaa matunda kwani makosa yao yalifanya Arsenal kuwakimbiza muda mrefu...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 16 December 2015
CHELSEA: FABREGAS AWACHANA WENZAKE
Cesc Fabregas amewachana wenzake kwamba wa waonyeshe pesa wanayopata uwanjani...Fabregas amesema kama wachezaji ni wakubwa na wanalipwa pesa kubwa basi jichukulie kama wewe ni mkubwa...Hii imetokea baada ya kuchapwa na Leicester na kocha Mourinho kusema kazi ilihujumiwa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 15 December 2015
EPL: LEICESTER CITY JUU YA LIGI BAADA YA KUWACHAPA CHELSEA
Leicester FC wanaonhoza ligi baada ya kuwaywanga Chelsea 2-1...Jamie Vardy alifunga bao la kwanza na kumfikisha mabao 15 kwa ujumla...Bao zuri la 2 alipachika Riyad Mahrez muda mchache baada ya mapumziko...Loic Remy alipata bao la kufuta machizi lakini Leicester game ilikuwa yao...Chelsea sasa wako point 1 tu waingue relegation zone...Mourinho kibarua kiko hatiani sasa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)


















