Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Jamie Vardy. Show all posts
Showing posts with label Jamie Vardy. Show all posts
Monday, 21 April 2025
Thursday, 16 January 2025
Wednesday, 26 April 2023
Monday, 18 October 2021
Sunday, 23 February 2020
Tuesday, 28 February 2017
Thursday, 23 February 2017
CHAMPIONS LEAGUE: JAMIE VARDY GIVES LEICESTER A LIFELINE
Vamie Vardy has surfaced again after a goal drought as he salvaged a goal after being beaten 2-1 by Seville...
Wednesday, 21 December 2016
Thursday, 15 September 2016
CHAMPIONS LEAGUE: LEICESTER WIN THEIR 1ST EVERY CHAMPIONS LEAGUE GAME
Leicester City FC showed their fans that they too belong in the Champions League by beating Belgium's Club Brugge 0-3...It is their first ever game and win in a Champions League setup...Leicester deserved a standing ovation hence another historical achievement for the club...Albrighton got an early goal and Riyad Mahrez curled a sublime free-kick on the 29th minute...He added another goal through a penalty kick after Jamie Vardy was fouled by the keeper.
Thursday, 23 June 2016
LEICESTER CITY FC: VARDY AMEAMUA KUBAKIA LEICESTER
Mshambuliaji mashuhuri wa Leiceester na timu ya taifa ya England, Jamie Vardy, amesaini mkataba mpya wa miaka 4 na kuondoa gumzo la wengi baada ya club ya Arsenal kutangaza nia ya kumchukua mchezaji huyo...Msemaji wa club ya Leicester alisema "Leicester City pamoja na mwakiishi wake wamekubali kuongeza mkataba baina ya mshambuliaji huyo na mabingwa wa ligi ya England" Aidha aliongeza na kusema "natumanini mkataba huo utamaliza gumzo lililojengeka la Vardy kuhamia Arsenal baada ya club hiyo kutangaza nia"...
Vardy ambae yuko nchini France na timu ya taifa ya England, hatosema lolotehadi mashindano hayo yatakapoisha...England inajifua kujiweka tayari kupambana na Iceland...
Sunday, 19 June 2016
ARSENAL: WENGER ASEMA JAMIE VARDY KUBAKIA LEICESTER
Kocha wa Arsenal amesema Jamie Vardy atabakia Leicester kwa mwaka na hato kuja Emirates...Habari hizi zimeingia Max Sports muda huu kutoka China ambako kocha Wenger alipo sasa...Wenger akiongea na TV moja huko alisema Vardy inaonekana amekataa kuhama na atakuwa Leicerster kwa mwaka zaidi...
Arsenal walianza kuonyesha kumtaka lakini Vardy alikuwa na majukumu ya kitaifa ya Euro 2016 na mipango yote ikasimama...Endelea kupitia Max Sports kupaya habari za haraka...
Saturday, 18 June 2016
EURO 2016: ENGLAND YAWALAZA MAJIRANI
Timu ya England imefanikiwa kupata ushindi dhidi ya timu ya Wales ambao ni majirani wao katika Falme ya England huko Lens, nchini France kwa bao 2-1...
Wales kupitia mshambuliaji wake mashuhuri Gareth Bale ambaye pia anachezea timu ya Real Madrid ya Spain, aliwezesha timu yake kuongoza katika kipindi cha 1 baada ya kufunga goli la mkwaju ama free kick katika dakika ya 42... Kipindi cha pili kocha wa England Roy Hodgson alilazimika kufanya mabadiliko ambayo mchezaji Jamie Vardy and Daniel Sturridge waliingia kuongeza mashambulizi... Ilikua dakika ya 56 ambapo, Uingereza iliweza kusawazisha kupitia Jamie Vardy...
Wales waliendelea na kazi ya kutetea goli lao ambao iliwapa England kazi ngumu hadi mpira kuingia dadika za nyongeza...Daniel Sturridge ndio akapata upenyo dakika ya 91 na sekunde ya 3 na kuifungia timu yake ya England bao la pili ambalo lilimaliza mechi hiyo kwa ushindi wa magoli mawili dhidi ya moja lililofungwa na Gareth Bale.
Wednesday, 8 June 2016
ARSENAL: BIASHARA YA JAMIE VARDY KUSUBIRI EURO 2016
Wanaoangalia maslahi ya Jamie Vardy wamesema Vardy nafikiria Euro 2016 kwa sasa...Arsenal walianza kuonyesha kumtaka na wako tayari kutoa pesa avunje mkataba wake lakini kwa sasa inabidi biashara zote zisubiri...Kwa sasa Varrdy yuko France na sqaud ya England tayari kucheza na Russia ndani ya Marseille jumamosi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Saturday, 4 June 2016
ARSENAL: ARSENAL WANAMTAKA JAMIE VARDY
Sunday, 8 May 2016
LEICESTER CITY: LEICESTER WAKABIDHIWA KOMBE RASMI
Leicester City ndio habari ya mwaka huu kwani wameshangaza ulimwengu kwa kunyakua kombe kubwa la ligi ya Uingereza kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya timu hiyo...
Leicester walipewa gwaride la heshima na Everton na baada ya hapo Andrea Bocelli aliingia uwanjani na kocha Claudio Ranieri na kutumbuiza nyimbo ya classical...
Leicester City walifanikiwa kushinda mechi hiyo dhidi ya Everton 3-1...Vardy alifunga mabao 2 na bao la 1 lilikuwa mapema dakika ya 5 na bao lake la 2 lilipatikana dakika ya 65 kwenye tuta...
King nae alipata bao dakika ya 33...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 15 December 2015
EPL: LEICESTER CITY JUU YA LIGI BAADA YA KUWACHAPA CHELSEA
Leicester FC wanaonhoza ligi baada ya kuwaywanga Chelsea 2-1...Jamie Vardy alifunga bao la kwanza na kumfikisha mabao 15 kwa ujumla...Bao zuri la 2 alipachika Riyad Mahrez muda mchache baada ya mapumziko...Loic Remy alipata bao la kufuta machizi lakini Leicester game ilikuwa yao...Chelsea sasa wako point 1 tu waingue relegation zone...Mourinho kibarua kiko hatiani sasa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)






















