Saturday, 4 March 2017
VODACOM PREMIER LEAGUE: OBREY CHIRWA AFUTIWA KADI NYEKUNDU
Obrey Chirwa amefutiwa kadi nyekundu na yuko huru kucheza mechi Kati ya Young Africans (Yanga) na Mtibwa Sugar huko Moro...
Mzambia huyo alipewa kadi hiyo nyekundu kwenye mechi iliyopita ya Ligi Kuu dhidi ya Ruvu shooting Stars...Alipewa kadi ya njano na dakika ya 45 alipewa kadi nyinyingine na kusababisha atoke nje kabisa ya uwanja...Katika mchezo huo Yanga iliwatandika Ruvu Shooting mabao 2-0...Yanga waliondoka alfajiri leo kuelekea Morogoro kwaajili ya mechi yao dhidibya Mtibwa kesho...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment