Friday, 10 March 2017
EUROPA LEAGUE: K.R.C. GENK YAFANYA MAUAJI HUKU MBWANA SAMATTA AKITUPIA BAO 2
Katika mchezo wa Europa League round ya 16 K.R.C. Genk ya Ubelgiji imeichapa KAA Gent mabao 5-2 ndani ya uwanja wa Ghelamco Arena huko Gent...
Mshabuliaji kutoka Tanzania ambae pia ni nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta anaendelea kuwika na jana amefanikiwa kupata mabao mawili dakika ya 41 na 72...
Genk sasa wanawakati mwepesi katika mechi ya marudiano ambayo wakishinda wanaingia robo-fainali...
Samatta sasa anamabao 16 kati ya mechi 47 alizocheza toka asajiliwe kutoka TP Mazembe....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment