Thursday, 2 March 2017

VODACOM PREMIER LEAGUE: YOUNG AFRICANS (YANGA) YAICHAPA RUVU SHOOTING 2-0


Young Africans almaaruf kwa jina la Yanga wamerudi kwenye hali ya ushindi baada ya kuichapa Ruvu Shooting mabao 2-0...
Yanga hivi karibuni ililala kwa watani wao wa jadi kwa mabao 2-1 na sasa inamatumaini ya kufukuzia ubingwa...Kwa sasa Yanga ina pointi 52 kati ya mechi 23...Yanga ni ya 2 kwenye msimamo wa ligi chini ya Simba Sports Club wakipishana pointi 2 tu...



Simon Msuva aliipatia Yanga bao na pia kutoa assist ya bao lingine...Marefa waliendesha mchezo bila umakini na kusababisha Obrey Chirwa kutolewa nje kwa kadi 2 za njano.

No comments:

Post a Comment