Aritz Aduriz wa Athletic Club Bilbo ndiye aliyewanyamazisha Real Madrid ndani ya San Mmes...Cross ya Mickel Rico ndiye iliyosababisha bao ambalo limewafanya Real wawe karibu kupitwa kwenye msimamo wa ligi kali ya Spain...Kwa sasa Real Madrid wako points 2 mbele ya Barcelona na wanaweza kuwapita Madrid wakishinda mechi yao leo dhidi ya Rayo Vallecano ndani ya Nou Camp...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Sunday, 8 March 2015
LA LIGA: REAL MADRID YACHAPWA
Aritz Aduriz wa Athletic Club Bilbo ndiye aliyewanyamazisha Real Madrid ndani ya San Mmes...Cross ya Mickel Rico ndiye iliyosababisha bao ambalo limewafanya Real wawe karibu kupitwa kwenye msimamo wa ligi kali ya Spain...Kwa sasa Real Madrid wako points 2 mbele ya Barcelona na wanaweza kuwapita Madrid wakishinda mechi yao leo dhidi ya Rayo Vallecano ndani ya Nou Camp...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment