Arsenal imeshindwa kusogea mbele kwenye michuano ya Champions League baada ya kutolewa kwa magoli ya ugenini na AS Monaco FC...Arsenal ilishinda mechi ya jana 0-2 lakini walihitaji kufunga bao 1 zaidi ili waweze kufuzu.....Mechi ilikuwa kali sana na ya upande mmoja kwani Gunners walicheza vizuri sana na kukosa mabao kibao lakini Monaco waliweza kuvumilia kishindo mpaka mwisho...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 18 March 2015
CHAMPIONS LEAGUE: PAMOJA NA KUCHEZA VIZURI ARSENAL YATOLEWA
Arsenal imeshindwa kusogea mbele kwenye michuano ya Champions League baada ya kutolewa kwa magoli ya ugenini na AS Monaco FC...Arsenal ilishinda mechi ya jana 0-2 lakini walihitaji kufunga bao 1 zaidi ili waweze kufuzu.....Mechi ilikuwa kali sana na ya upande mmoja kwani Gunners walicheza vizuri sana na kukosa mabao kibao lakini Monaco waliweza kuvumilia kishindo mpaka mwisho...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment