Michuano mikali ya Bball Kitaa chini ya udhamini wa Sprite yataendelea Ijumaa ijayo...Kutakuwa na mechi ya madogo U-15 na U-13...U-13 walishiriki michuano huko Canada mwaka jana na wako makini sana...Kuna mechi nyingine kubwa sana kati ya Team Karababi na Team Adam Juma ambayo inasubiriwa kwa hamu sana na atakayeshinda anaondoka na kitita cha milioni 10 hapo hapo...Bofya haa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 4 March 2015
BASKETBALL: BBALL KITAA KUENDELEA IJUMAA
Michuano mikali ya Bball Kitaa chini ya udhamini wa Sprite yataendelea Ijumaa ijayo...Kutakuwa na mechi ya madogo U-15 na U-13...U-13 walishiriki michuano huko Canada mwaka jana na wako makini sana...Kuna mechi nyingine kubwa sana kati ya Team Karababi na Team Adam Juma ambayo inasubiriwa kwa hamu sana na atakayeshinda anaondoka na kitita cha milioni 10 hapo hapo...Bofya haa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment