Timu ya Mercedes Benz wanaendelea kuwika baada ya kumaliza qualifying mbele ya grid...Mashindano hayo makali yanafanyina huko Bahrain leo saa 11 jioni...Nico Rosberg aliibuka mbele ya grid na mwenzake Lewis Hamilton alikuwa wa 2...Bofya hapa upate maoni ya Nico Rosberg kuhusu ushindani wake na Hamilton...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Sunday, 6 April 2014
F1: MERCEDES BENZ 1, 2, KWENYE POLE POSITION
Timu ya Mercedes Benz wanaendelea kuwika baada ya kumaliza qualifying mbele ya grid...Mashindano hayo makali yanafanyina huko Bahrain leo saa 11 jioni...Nico Rosberg aliibuka mbele ya grid na mwenzake Lewis Hamilton alikuwa wa 2...Bofya hapa upate maoni ya Nico Rosberg kuhusu ushindani wake na Hamilton...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment