Chelsea hivi punde tu wameangukia pua baada ya kuchapwa 1-2 na Sunderland nyumbani kwao Chelsea...Hii ni mara ya kwanza Jose anachapwa nyumbani kati ya game 78 kama meneja wa timu...Chelsea walianza kuona lango kupitia Eto'o mapema dakika ya 12 na Wickham akausidha muda si mrefu kwenye dakika ya 18...Fabio Borini aliwaweka Sunderland mbele kwa mkwaju wa penalty dakika ya 82...Chelsea sasa wana wakati mgumu wa kuchukua kombe kwani wamepoteza pointi 3 muhimu sana...
Saturday, 19 April 2014
EPL: CHELSEA CHALI

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment