Everton ilisimamishwa na Crystal Palace ambayo inapambana kubakia kwenye Premiership...Everton ilichapwa 2-3 na Palace nakuifanya Everton iwe na mlima wa kuitafuta nafasi ya 4 ambayo ameishikilia Arsenal wakipishana pointi 1...Hii ni mara ya kwanza Everton wanapoteza mechi nyumbani tokea Boxing Day na ni mara ya pili wanachapwa msimu mzima...Sasa Crystal Palace wamesogea namba 11 kwahiyo wanauhakika wakubakia Premiership...Bofya hapa upate habari zaidi...
Thursday, 17 April 2014
EPL: EVERTON YACHAPWA NA PALACE
Everton ilisimamishwa na Crystal Palace ambayo inapambana kubakia kwenye Premiership...Everton ilichapwa 2-3 na Palace nakuifanya Everton iwe na mlima wa kuitafuta nafasi ya 4 ambayo ameishikilia Arsenal wakipishana pointi 1...Hii ni mara ya kwanza Everton wanapoteza mechi nyumbani tokea Boxing Day na ni mara ya pili wanachapwa msimu mzima...Sasa Crystal Palace wamesogea namba 11 kwahiyo wanauhakika wakubakia Premiership...Bofya hapa upate habari zaidi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment