Formula One itakaribisha timu mbili msimu wa 2015 na moja ya timu itakuwa inatoka Marekani...Gene Haas kutoka mashindano ya NASCAR amekubaliwa na FIA kujiunga na Formula One amesema Bernie Ecclestone boss wa Formula One....Mara ya mwisho Marekani walijaribu kuingiza timu ilikuwa 2010 lakini walishindwa...Gene Haas ambaye ni nusu mmilikia wa Stewart-Haas Racing team anakiwanda Brussels ambacho kitakuwa kinawasaidia kwenye harakati zao za F1...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Sunday, 13 April 2014
F1: MAREKANI KUINGIZA GARI 2015
Formula One itakaribisha timu mbili msimu wa 2015 na moja ya timu itakuwa inatoka Marekani...Gene Haas kutoka mashindano ya NASCAR amekubaliwa na FIA kujiunga na Formula One amesema Bernie Ecclestone boss wa Formula One....Mara ya mwisho Marekani walijaribu kuingiza timu ilikuwa 2010 lakini walishindwa...Gene Haas ambaye ni nusu mmilikia wa Stewart-Haas Racing team anakiwanda Brussels ambacho kitakuwa kinawasaidia kwenye harakati zao za F1...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment