Thursday, 8 October 2015

FIFA: BLATTER NA PLATINI WASIMAMISHWA



Kamati ya nidhamu imewasimamisha Sepp Blatter, Michel Platini na Jerome Valcke kwa muda wa siku 90...Blatter ni rais wa FIFA, Platini ni makamu rais na Valcke ni katibu na wamesimamishwa kutokana na contract ambayo haikuisaidia FIFA na pia pesa kiasi cha milioni 1.32 pounds za Uingereza alizopokea Platini kutoka kwa Blatter...FIFA pia wamemsimamisha makamu rais wa zamani Chung-Mong joon miaka 6... 


Issa Hayatou ambaye ni rais wa CAF atakuwa rais wa muda wa FIFA na amesema hato ingia kwenye kinyanganyiro cha kutafuta rais mpya wa FIFA...Bofya hapa upate habari zaidi.

RUGBY WORLD CUP 2015: HABANA AFIKIA REKODI YA LOMU YA 15 TRIES


Bryan Habana amefikia rekoti ya kufunga ya Jonah Lomu ya tries 15...Habana aliweza kupata hat-trick kwenye game ambayo South Africa waliwagaragaza vibaya Marekani...Springbok sasa wanaongoza Pool B walikwa na points 16 wakufuatiwa na Scotland wenye points 10...Bofya hapa upate habari zaidi.

2018 FIFA WORLD CUP RUSSIA: TANZANIA YAICHAPA MALAWI 2-0



Taifa Stars jana ilifurahisha mashabiki wa soka nchini kwa ushindi wa dhidi ya Flames ya Malawi 2-0...Chini ya kocha mzawa na mashuhuri Charles Boniface Mkwasa timu ya taifa iliweza kumaliza mabao yote kipindi cha kwanza kupitia star Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu...Taifa Stars wataingia jijini Blantyre tayari kwa mechi Jumapili ijayo...Bofya hapa upate habari zaidi.

TFF: MKWASA ASAINI MKATABA MPYA



Boniface Mkwasa amesaini mkataba mpya na TFF wa mwaka mmoja na nusu...Mkwasa akichukuliwa na TFF kuisaidia timu ya taifa baada ya TFF kuachana na Marj Nooij...Jamal Malinzi, Rais wa TFF, amesema Mkwasa atalipwa vizuri kama Nooij na inabidi ainue vipaji vipya hasa vijana...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 7 October 2015

TAIFA STARS: STARS KUPIMANA NGUVU NA MALAWI LEO



Katika maandalizi ya 2018 World Cup abayo yatafanyika nchini Urusi timu ya taifa ya Tanzania itaingia uwanjani na timu ya taifa ya Malawi leo...Stars iko chini ya kocha mashuhuri Boniface Mkwasa ambae amesema ni lazima tushinde mechi ya nyumbani...Vinara wa soka Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wameingia kambini jumatatu tayari kwa mechi hii muhimu...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 6 October 2015

RONALDO: MDAU WA MAX SPORTS AKUTANA NA de LIMA


Mdau kwa karibu wa Max Sports Blog Mr. Ed Kavishe hivi karibuni alikutana na mmoja wa mastricker hatari sana anayetokea Brazil Ronaldo Luiz Nazario de Lima au kwa kifupi Ronaldo...Mdau Kavishe ni mwanzilishi na CEO wa Fasion Wire Press na makazi yake yako Milan Italy pia ni mdau ambae anasafiri sana na anakutana na watu wengi sana mashuhuri...Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora aliyewahi kucheza mchezo huo na ni kati ya watu wanne ambao wamewahi kushinda tuzo ya Fifa ya mchezaji wa mwaka zaidi ya mara 3...Ronaldo aliwahi kupata tuzo ya Ballon d'Or mara 2 mwaka 1997 na 2002...Endelea kupata taarifa mbali mbali za wadau na sports hapa Max Sports Blog.

Monday, 5 October 2015

EPL: MANCHESTER UNITED YAZIDIWA MAAFIRA NA ARSENAL



Arsenal jana iliwapeleka shule Manchester United mpaka wakapewa homework...Manchester United waligaragazwa 3-0 ndani ya dakika 20 na ushee hivi kwa mabao ya uhakika na yenye akili...Alexis Sanchez na Mesut Ozil na walipachika mabao mawili ndani ya sekunde 74 na dadae Sanchez aliongeza kutoka 18 yards...Van Gaal pamoja na kutumia pesa kibao kununua wachezaji jana walionekana hawana uwezo wa hali ya juu na mashimo yameanza kuonekana kwenye timu yake...Arsenal sasa wako nafasi ya 2 chini ya Manchester City...Bofya hapa upate habari zaidi.

LIVERPOOL: BRENDAN RODGERS ATIULIWA


Kocha ambaye alijitahidi sana lakini baada ya kumuuza Suarez hakuweza kurudisha timu kwenye viwango vya juu ametimuliwa...Brendan Rodgers anategemewa kubadilishwa na Jurgen Klop aliyekuwa kocha wa Dortmund...Makocha wengine ambao walikuwa wanatolewa macho ni Carlo Ancelotti, Frank de Boer, Walter Materazzi na ejurgen Klinsman...Bofya hapa upate habari zaidi.

MOUNT MERU MARATHON: MARCO SYLVESTER NA ANGELINA TSERE WASHINDA


Mbio za Meru Marathon jijini Arusha zilipata bingwa anayetokea Singida Marco Sylvester...Sylvester alitumia muda wa saa 1, dakika 3 na sekunde 37 kumaliza half-marathon kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume...Kwa upande wa wanawake Angelina Tsere alishinda kwa kutumia muda wa saa 1, dakika 14 na sekunde 5...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 4 October 2015

RUGBY WORLD CUP 2015: SOUTH AFRICA WANANGUVU KULIKO SCOTLAND


Timu ya taifa ya Raga ya South Africa au kwa jina maarufu sana Springboks sasa wanaongoza Pool B baada ya kuwachapa Scotland kirahisi mabao 34-16...JP Pietersen na Bismarck du Plessis walikuwa hatari sana na Boks walishambulia Scotland kama Simba...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: MATOKEO YA MECHI ZA JANA

Sat 3 Oct 2015 - Premier League

EPL: AGUERO AIRARUA NEWCASTLE


Sergio Aguero amefanya kweli katika uwanja wa nyumbani kwa kupachika mabao 5 ya kwake dhidi ya Newcastle...Manchester City walishinda hiyo mechi 6-1 na Aguero alitumia dakika takriban 20 kupachika mabao yake...Newcastle mpaka leo hawajashinda hata mechi moja walipata bao 1 kutoka kwa mchezaji wa mpya Mitrovic...Bofya hapa upate habari zaidi.

 

EPL: SOUTHAMPTON YAISAMBARATISHA VIBAYA CHELSEA



Madogo wa Southampton waliwapeleka shule Chelsea jana na kuwatandika 1-3 mbele ya boss yao darajani...Jose sasa naona kibarua kinataka kuota mabawa kwani sasa wako nafasi ya 16 wakiwa na points 8 tu na wamecheza mechi 8...Jose ametoka kupakwa na boss wa FA, Greg Dyke, hivi juzi tu kutokana na kutomwomba radhi Eva Carneiro na sasa amekula kichapo na Southampton sijui anatafakari nini sasa...


Inabidi Mourinho apunguze upendeleo na ajipange maana ligi ya mwaka huu ngumu...Chelsea ndio walioanza kupachika bao kupitia free-kick ya Williams lakini uzembe wa mabeki ulisababisha Southapton kusawazisha na kuongeza mabao...Bofya hapa upate habari zaidi.

Friday, 2 October 2015

EPL: STANDINGS


#
Team
GP
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
7
5
1
1
12
5
7
16
2
7
5
0
2
13
6
7
15
3
7
4
1
2
15
9
6
13
4
7
4
1
2
10
7
3
13
5
7
3
3
1
11
7
4
12
6
7
3
3
1
9
5
4
12
7
7
4
0
3
9
7
2
12
8
7
3
3
1
15
14
1
12
9
7
3
2
2
7
9
-2
11
10
7
2
3
2
10
9
1
9
11
7
2
3
2
8
8
0
9
12
7
2
3
2
11
12
-1
9
13
7
2
3
2
5
6
-1
9
14
7
2
2
3
11
14
-3
8
15
7
2
2
3
6
9
-3
8
16
7
2
1
4
9
11
-2
7
17
7
1
3
3
7
10
-3
6
18
7
1
1
5
8
12
-4
4
19
7
0
3
4
5
11
-6
3
20
7
0
2
5
6
16
-10
2











































































BOXING: KUMBUKUMBU YA MUHAMMAD ALI NA MZEE CHOKA NDANI YA DAR ES SALAAM

 
Ali akiwa ana spar na Esmail Choka (Marehemu)
(Source: Midladjy Maez)

Boxer mashuhuri sana duniani Muhammad Ali waliwahi kuja nchini kwetu mwaka 1980...Kilichomleta Ali ni kitu kimoja nacho ni kutaka  nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania kutojihusisha na Olympics ya Moscow kutokana na Urusi kuihodhi Afganistan...Ali alivyokuja Dar alipolekewa vizuri na Esmail Manambi Choka (Marehemu) na watu wengi...Picha hapo juu ilichukuliwa Dar International Airport sasa ni JNIA inaonyesha jinsi gani mzee Choka alivyo kuwa mshabiki mkubwa sana wa Ali...Hapo chini kuna clip ya Ali alivyokutana na wadau Dar...

Thursday, 1 October 2015

BASEBALL: TORONTO BLUE JAYS WASHEREHEKEA USHINDI BAADA YA MIAKA 22



Toronto Blue Jays walikuwa na sababu zote za kusherehekea ushindi mkubwa sana wa American East Division Championship...Mara ya mwisho Jays kuchukua division ilikuwa mwaka 1993...Blue Jays waliweza kuwachapa Baltimore Orioles 15-2 ndani Camden Yards ya mji wa Baltimore...Bofya hapa upate habari zaidi.