Monday 18 April 2016

VODACOM PREMIER LEAGUE: YANGA KILELENI TENA


Dar es Salaam Young Africans wana wa Jangwani wamerejea kileleni tena baada y kuwachapa Mtibwa Sugar 1-0...Simon Msuva alipachika bao pekee mapema kipindi cha 2 na kuipaisha Yanga juu ya Simba Sports Club...Yanga sasa wanapoints 59 wakiwa na mechi 24....Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment