Pages
HOME
TOP PODCASTS
DOCUMENTARIES
MARTIAL ARTS
BOXING
MOTOR SPORTS
AI & SPORTS
Sunday, 10 April 2016
EPL: ANDY CARROLL AWASHIKA SHATI ARSENAL
Ndoto za
Arsenal
zimefifia leo baada ya kushikwa shati na hat-trick ya Andy Carroll wa West Ham United...Game ilikuwa balaa kwani iliisha 3-3 ulimi nje...Carroll alitandika mabao 3 ndani ya dakika 10 na bao la 2 lilikuwa hatari...
Matokeo ya leo hayasaidii timu zote mbili wakati game zimebaki chache...
Bofya hapa upate habari zaidi.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment