Tuesday 19 April 2016

LAUREUS SPORTS AWARDS: DAN CARTER NA ALL BLACKS WASHINDA TUZO MUHIMU YA LAUREUS


All Blacks wamekuwa timu bora na wameweza kuzawadiwa tuzo ya Laureus ya timu bora ya dunia ya mwaka...


Dan Carter ameshinda tuzo ya mchezaji aliyeweza kujipanga upya wa mwaka...Carter alikuwa mchezaji bora wa dunia wa mwaka katika Rugby World Cup na pia alishinda tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa nchi nyingine...


Ni mara ya 6 All Blacks wametajwa katika timu ambazo zinawania tuzo hiyo lakini ni mara ya kwanza wanashinda...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment