Mtibwa Sugar imetinga fainali ya kombe la 9 la Mapinduzi baada ya kuitoa JKU kwa mikwaju ya penalty 4-3 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar...Baada ya JKU kukosa penalty 2 Vincent Barnabas ndio aliyezamisha penalty iliyowaingiza Mtibwa fainali...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Sunday, 11 January 2015
MAPINDUZI CUP: MTIBWA NDANI YA FAINALI
Mtibwa Sugar imetinga fainali ya kombe la 9 la Mapinduzi baada ya kuitoa JKU kwa mikwaju ya penalty 4-3 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar...Baada ya JKU kukosa penalty 2 Vincent Barnabas ndio aliyezamisha penalty iliyowaingiza Mtibwa fainali...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment