Sunday 25 January 2015

FA CUP: MOURINHO AONA NOMA KUFUNGWA NA BRADFORD


Boss wa Chelsea, Jose Mourinho, amesema anaona noma sana kuchapwa na timu kadogo sana ya Bradford...Chelsea walichapwa 4-2 ndani ya Stamford Bridge jana na kutolewa nje ya mashindano ya FA Cup...Mourinho amesema ni aibu timu kubwa kufungwa na viji timu vidogo kama ilivyotokea kwa timu nyingi...


Timu zilizofungwa ni pamoja na Manchester City ambao walipigwa 2-0 na Middlesbrough, Souhampton walichapwa na Crystal Palace 3-2...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment