Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label St. Louis Rams. Show all posts
Showing posts with label St. Louis Rams. Show all posts
Tuesday, 2 August 2016
NFL: WIDE RECEIVERS WAWILDCATS WAWILI WAINGIA RAMS
Wachezaji wawili wide receivers wa Arizona Wildcats wamesaini mkataba na timu kubwa ya St. Louis Rams...Austin Hill na David Richards watapata nafasi ya kuichezea Rams ambayo imepata sehemu mpya...Contract zao ni za free-agents...Austin Hill baba yake alichezea Ram kama tight end...Bofya hapa upate habari zaidi.
Friday, 15 January 2016
NFL: ST LOUIS RAMS YAHAMIA LOS ANGELES
Timu ya NFL ya St. Louis Rams inahamia Los Angeles al-maarufu kama LA...Mmiliki wa St. Louis Rams ambae pia ni mmiliki wa Arsenal FC, Stan Kroenke, amesema uamuzi huo ni uamuzi mchungu na mtamu na juhudi za kuamisha hiyo timu ilikuwa ngumu sana...Walikaa wamiliki na kupiga kura na matokeo yalikuwa 30-2...Rams sasa inabidi walipe £311 milioni pesa ya kuhamisha timu ambayo inaaenda NFL...Sio kila mtu amefurahia kuhama kwa timu hasa mashabiki ambao walishuhudia Rams kuchukua kombe la Super Bowl mwaka 1999...Pia Governor wa Missouri Jay Nixon hajafurahishwa na kuhama kwa timu hiyo...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)

