Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label San Fransisco. Show all posts
Showing posts with label San Fransisco. Show all posts
Wednesday, 22 June 2022
Monday, 25 January 2016
NFL: DENVER BRONCOS KUKUTANA NA CAROLINA PANTHERS SUPER BOWL 50
Denver Broncos waingia tena fainali ya NFL au kwa jina maarufu sana duniani la Super Bowl baada ya kuwachapa wakongwe New England Patriots 20-18...Kwa upande mwingine Carolina Panthers wakiongozwa na Cam Newton waliwachapa Arizona Cardinals 49-15...
Quarterback wa Broncos MVP mara 5 mkongwe Peyton Manning atakuwa mchezaji mwenye umri mkubwa kuliko wote akiwa na umri wa miaka 39...Super Bowl 50 itachezwa February 8 ndani ya uwanja wa Levi's ndani ya jiji la San Fransisco saa 8 na dakika 20 usiku muda wa East Africa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)

