Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Prisons. Show all posts
Showing posts with label Prisons. Show all posts
Friday, 4 February 2022
Tuesday, 20 October 2020
Sunday, 19 November 2017
Sunday, 12 February 2017
Thursday, 10 November 2016
VODACOM PREMIER LEAGUE: SIMBA YASHIKWA MKIA NA PRISONS
Simba Sports Club wana wa Msimbazi jana walichapwa 2-1 na Prisons kwenye uwanja wa Sokoine, jiji Mbeya...
Tuesday, 13 September 2016
VPL: SIMBA SC YAISHUSHA YANGA NAFASI YA 2
Simba SC inaendelea vizuri na Vodacom Premier League baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 ndani ya Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam...Simba ilipata point 3 muhimu kupitia kwa Ibrahimu Ajib na Laudit Mavugo kipindi cha 2...Yanga imeshushwa nafasi na Simba na bado mapambano yanaendelea na ni marefu...Simba inasaka ubingwa toka mwaka 2012...Kwa sasa Azam na Simba wako sawa sema labda wana lambalamba jina lao limeanza na herufi A tu lakini wote wana points 10...Uzuri wa mechi ya Simba ni mashabiki ambao walijaa kushuhudia bao la Ajib...Sehemu nyingine Mbeya Prisons waliibuka kidedea dhidi ya Toto Africans kwa bao 1 kwa mtungi ndani ya Uwanja wa Sokoine.
Wednesday, 8 June 2016
YANGA: YANGA YAIPIKU SIMBA NA KUMSAJILI KIPA KIPA HATARI
Yanga bado inaendeleza ushindi nje ya mpira baada ya kumyakua kipa hatari Beno Kakolanya...Beno amesaini mkataba wa miaka 2 akitokea Prisons...Bofya hapa upate habari zaidi.
Thursday, 25 February 2016
VODACOM PREMIER LEAGUE: AZAM YASHIKWA SHATI SOKOINE MBEYA
Azam FC imerudishwa nyuma katika mbio zake za kuipita Yanga kwa kushikwa shati huko uwanja wa Sokoine Mbeya...Draw iliyopatikana huko Mbeya sio habari njema kwa mashabiki wa Azam FC kwani kasi inapungua ya kuwania kombe la ligi...Prisons waliwashika shati na mpaka kipenga cha mwisho ubao ulisoma 0-0...Azam sasa bado wana points 46 na wanahitaji ushindi haraka...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)



