Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Novac Djokovic. Show all posts
Showing posts with label Novac Djokovic. Show all posts
Monday, 5 September 2016
US OPEN 2016: KYLE EDMUND STOPPED BY NOVAK DJOKOVIC
Monday, 8 August 2016
RIO 2016: DEL PORTO BEATS DJOKOVIC IN THE FIRST ROUND
Juan Martin del Potro au Delpo has beaten world number 1 Novak Djokovic in the first round of the Rio Olympics.
Monday, 9 May 2016
MADRID OPEN: DJOKOVIC BINGWA MADRID
Novak Djokovic ambae ni namba 1 duniani amechukua kombe la Madrid Open kwa kumchapa Andy Murray 6-2 3-6 6-3...Murray ameshindwa kutetea taji lake na sasa leo atashuka daraja na kuwa namba 3 duniani na kumpisha Roger Federer...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 21 March 2016
INDIAN WELLS FINAL: VICTORIA AZARENKA AMEMTOA NJE SERENA WILLIAMS NA KUSHINDA KOMBE
Namba 1 duniani Serena Williams ametolewa kwenye michuano ya Indian Wells na Victoria Azarenka...Azarenka aliamua kukomaa alivyoona Serena hapigi serve zake vizuri na kushinda mechi 6-4 6-4...Kwa upande wa wanaume Novak Djokovic amemchapa Milos Raonic kutoka Canada 6-2 6-0 na kubeba taji la Masters kwa mara ya 27...Bofya hapa upate habari zaidi.
Friday, 29 January 2016
AUSTRALIAN OPEN 2016: DJOKOVIC AMCHAPA FEDERER AINGIA FAINALI
Novak Djokovic amefanikiwa kuingia fainali za Australian Open baada ya kumchapa mkongwe Roger Federer...Djokovic alianza seti mbili za mwanzo kwa nguvu na kuzidiwa seti ya 3 na badae akapambana na kushinda seti ya 4...Djokovic alishinda kwa 6-1 6-2 3-6 6-3 na sasa anasubiri kucheza na Andy Murray au Raonic...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 24 January 2016
AUSTRALIAN OPEN 2016: DJOKOVIC AFANYA MAKOSA 100 LAKINI ASHINDA
Gilles Simon karibu amtoe namba 1 duniani Novak Djokovic lakini Djokovic aliweza kushinda 6-3 6-7 (1-7) 6-4 4-6 6-3...Katika uwanja wa Rod Laver mechi ilichukua masaa 4 na dakika 32 Djokovic akifanya makosa 100 au kwa lugha nyingine 100 unforced errors ambazo zingemfanya achapwe lakini aliweza kupata mwanga na kushinda...Djokovic sasa kaingia 8 bora na atapambana na Kei Nishikori kutoka Japan...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 20 January 2016
AUSTRALIAN OPEN 2016: SERENA NA FEDERER WASONGA MBELE
Mambo yamekuwa poa kwa Serena Williams na Roger Federer kwa kufuzu kwendaa mbele round ya 3...Serena alimchapa Hsieh Su-Wei 6-1 6-2 ...Novak Djokovic nae aliweza kuingia round ya 3 baada ya kumchapa Quentin Halys...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 10 January 2016
QATAR OPEN: DJOKOVIC KAMTANDIKA BILA UBISHI NADAL
Djokovic kati ya mechi 10 dhidi ya Nadal ameshinda mechi 9 na kati ya hizo mechi 5 ni straight sets...Bingwa Djokovic aliweza ku'break' mara mbili na kutokana na kasi na uwezo mkubwa wa tennis Nadal hakuwa na nafasi kahata kidogo ya kushinda...Nadal alichapwa 6-1 6-2...Sasa Djokovic anasubiri kuingia Australian Open ambayo itaanza tarehe 18 January...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 25 November 2015
ATP WORLD TOUR FINALS: DJOKOVIC AMPIKU FEDERER NA KUSHINDA ATP TOUR
Novak Djokovic aendelea kutesa kwenye ulimwengu wa Tennis baada ya kumchapa mkongwe Roger Federer na kuchukua kombe la ATP Tour...Djokovic alishinda 6-3 6-4 na alitumia dakika 80 tu hiyo ni pamoja na kuvunja serve mara 3...Djokovic anamaliza mwaka na title 6 zikiwemo Grand Slam 3...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 11 October 2015
CHINA OPEN FINAL: DJOKOVIC AMCHAKAZA NADAL
Novak Djokovic amechukua ubingwa wa ATP China Open kwa mara ya 6...Djokovic alifanya hivyo baada ya kumchapa vibaya sana mkongwe wa clay court Rafa Nadal 6-2 6-2...Kwa upande wa wanawake Gabrine Muguruza alishinda kwa kumchapa Timea Bacsinszky katika fainali ya WTA...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 14 September 2015
US OPEN: DJOKOVIC BINGWA
Novak Djokovic amemfunga Roger Federer kwenye fainali ya US Open na kuchukua kombe mbele wa watu wengi waliokuwa wanatazama mechi...Djokovic ambae ni namba 1 duniani ameshindwa kupata Grand Slam lakini amejitahidi sana na kufungwa mara 1 tu msimu huu...Haikuwa rahisi kucheza na Federer ambae ni mchezaji wa kipekee mwenye ujuzi wa hali ya juu wa tennis...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)










