Showing posts with label IAAF. Show all posts
Showing posts with label IAAF. Show all posts

Saturday, 27 January 2018

LONDON MARATHON 2018: MARY KEITANY TO USE MALE PACE MAKER


London Marathon 2018 will be full of surprises and one of them is that Mary Jepkosgei Keitany wants to break Paula Radcliffe's 'mixed gender' record of 2 hours, 15 minutes and 25 seconds...

Saturday, 3 December 2016

IAAF AWARDS: USAIN BOLT WINS WORLD ATHLETE OF THE YEAR AWARD


9 time Olympic Champion Usain Bolt has won the male IAAF World Athlete of the Year award for a record 6th time...Ethiopia's Almaz Ayana won the female IAAF Athlete of the Year award...

Friday, 29 April 2016

REGIONAL U-20 ATHLETICS CHAMPIONSHIP: VIJANA KUCHUANA UWANJA WA TAIFA KUANZIA LEO


Mashindano ya riadha ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 yameanza leo Uwanja wa Taifa...Mashindano haya ni yakikanda na ni muhimu sana kwani wanariadha wanaweza kufuzu kwenda kwenye mashindano ya kimataifa ya IAAF Junior Championship Bydgoszcz nchini Poland kuanzia July 19 mpaka July 24...Nchi ambazo zitashiriki ni Djibouti, Rwanda, Eritrea, Kenya, Somalia, Sudan ya Kusini, Uganda, Sudan na Zanzibar...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 17 February 2016

ATHLETICS DOPING: BOSS WA RIADHA KENYA AACHIA NGAZI KUPISHA UCHUNGUZI


Isaac Mwangi, Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Riadha nchini Kenya, ameamua kuachia ngazi na kupisha uchunguzi unaoikabili ofisi yake kwa ujumla...Tuhuma zinazomabili ni kwamba aliomba rushwa kutoka kwa wanariadha iliasiwalipue kutokana na kutumia madawa ya kuongeza nguvu...Mwangi amesema yeye hana hatia na ameamua kukaa nje ya ofisi kwa muda wa siku 21 ili kupisha uchunguzi unafanywa na chama cha riadha duniani IAAF...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 2 December 2015

ATHLETICS: RAIS WA RIADHA KENYA ASIMAMSHWA



Kamati ya maadili ya IAAF imemsimamisha rais wa riadha wa Kenya, Isaiah Kiplagat, wakati ikiendelea kuchunguza sakata ka matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu...Makamu Mwenyekiti David Okeyo na Mhasibu wa zamani Joseph Kinyua wamesimamisha...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 16 November 2015

ATHLETICS DOPING SCANDAL: KENYA KUANZISHA KITENGO CHA KUZUIA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU


Kutokana na report ya World Anti-Doping Agency ambayo inasema Kenya kuna tatizo kubwa la kutumia madawa ya kuongeza nguvu Serikali imesema itaanzaisha Agency ya kupambana na tatizo hilo...Report hiyo pia imeilaumu serikali ya Russia kwa kuchangia kwenye tatizo la madawa ya kuongeza nguvu...Kitengo hichi kipya kitapina na kufuata maagizo yote ya kuzuia na kupambana na madawa ya kuongeza nguvu...Kwa sasa wako wakenya 15 ambao wamefungiwa na IAAF kutokana na kutumia madawa ya kuongeza nguvu akiwemo bingwa mara 3 wa Bodton Marathon Rita Jeptoo...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 1 January 2014