Showing posts with label Afrika ya Kusini. Show all posts
Showing posts with label Afrika ya Kusini. Show all posts

Monday, 14 March 2016

ATHLETICS: WAYDE VAN NIEKERK KUTOKA AFRIKA YA KUSINI AWEKA REKODI MPYA KATIKA RIADHA


Wayde van Niekerk amekuwa mtu wa kwanza kukimbia chini ya sekunde 10 kwenye mita 100, sekunde 20 mita 200 na sekunde 44mita 400...Van Niekerk alitumia sekunde 9.98 katika mbio za mita 100  huko Bloemfontein ukijumlisha na sekunde 90.94 mita 200 na sekunde 43.48 mita 400 taji la dunia...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 26 August 2015

TFF: MAMELODI SUNDOWNS WAMEALIKWA KUCHEZA TANZANIA


Timu kubwa na mashuhuri ya Afrika ya Kusini Mamelodi Sundowns wamealikwa kuja Tanzania badae mwaka huu kucheza kwenye mashindano ya timu 4...Kocha wa Sundowns Pitso Mosimane aliwaambia Sport24 kwamba ni vizuri timu yake inacheza na timu kubwa kama TP Mazembe ambao pia wamealikwa kuja kucheza nchini Tanzania...Bofya hapa upate habari zaidi.