Thursday 4 August 2016

SEATTLE SEAHAWKS: PETE CAROLL ABAKIA SEAHAWKS


Kocha mzee kuliko wote NFL ameamua kubaki Seattle Seahawks...Pete Carroll ameongeza mkataba wake na Hawks huku mmiliki wa Seahawks, Paul Allen, alithibitisha hili kupitia mtandao wake wa twitter...Toka Pete mwenye umri wa miaka 64 aingie Hawks mwaka 2010 katima msimu wa kawaida rekodi yake ni 60-36...Manager wa Seahawks John Schneider nae ameongezewa mkataba kutokana na kushirikiana vyema na Pete...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment