Friday, 12 August 2016
RIO 2016: SIMONE MANUEL NA PENNY OLEKSIAK WAMALIZA MUDA SAWA WOTE WAPEWA MEDANI YA DHAHABU
Katika hali ya kushangaza na kutia moyo ni fainali ya shindano la swimming la mita 100 la wanawake ambapo Simone Manuel na Penny Oleksiak walimaliza muda sawa kabisa na kushinda medani ya dhahabu...Simone Manuel ni swimmer wa kwanza mwenye asilia ya Africa kushinda dhahabu...
Walimaliza kwa muda wa sekunde 52:70...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment