Thursday 4 August 2016

BOXING: MANNY PAQUIAO KURUDI TENA ULINGONI DHIDI YA JESSIE VARGAS NOVEMBER 5


Mkali wa ndondi aliye staafu, Manny Paquiao, anarudi tena ulingoni kuzichapa na bingwa wa WBO welterweight Jessie Vargas...Pambano hilo kali litafanyika November 5...Pac-Man alistaafu ndondi baada ya kumchapa Timothy Bradley mwezi wa 4...


Manager wa Pac-Man Michael Koncz amesema kustaafu hakumfai Pac-Man na Pac-Man anakuwa na furaha akifanya mazoezi makali...Bado hawajaamua pambano lifanyike wapi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment