Kocha wa Chelsea FC, Jose Mourinho, amepigwa faini ya £10,000...Hii ni kutokana na kauli yake aliyetoa kwa refa wa mchezo kati ya Chelsea na Sunderland ambapo Chelsea ilifungwa 2-1...Mourinho anasema alienda kupongeza refa lakini baada ya hapo hali ya hewa ilichafuka kidogo...Hii ni faini ya pili nyingine ni £8,000 ambayo ameshindwa kuizuia ilikuwa katika mechi ya Chelsea na Aston Vlla pia Chelsea walifungwa 1-0...Bofya upate habari zaidi...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 9 May 2014
EPL: JOSE APIGWA FAINI
Kocha wa Chelsea FC, Jose Mourinho, amepigwa faini ya £10,000...Hii ni kutokana na kauli yake aliyetoa kwa refa wa mchezo kati ya Chelsea na Sunderland ambapo Chelsea ilifungwa 2-1...Mourinho anasema alienda kupongeza refa lakini baada ya hapo hali ya hewa ilichafuka kidogo...Hii ni faini ya pili nyingine ni £8,000 ambayo ameshindwa kuizuia ilikuwa katika mechi ya Chelsea na Aston Vlla pia Chelsea walifungwa 1-0...Bofya upate habari zaidi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment