Showing posts with label Samson Siasia. Show all posts
Showing posts with label Samson Siasia. Show all posts

Saturday, 27 February 2016

NIGERIA: SAMSON SIASIA RUDI TENA KUONGOZA TIMU YA TAIFA NIGERIA


Samson Siasia amechaguliwa kuiongoza timu ya taifa ya Nigeria baada ya Sunday Oliseh kuachia ngazi Ijumaa iliyopita...Oliseh aliondoka kutokana na kutoelewana na Shirikisho la Soka Nigeria kuhusu mkataba na mshahara wake...Siasia aliwahi kufundisha Super Eagles December 2010 mpaka October 2011...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 16 November 2015

NIGERIA: TIMU YA TAIFA YA VIJANA U-23 YANUSURIKA AJALI YA NDEGE



Timu ya vijana ya Nigeria chini ya umri wa miaka 23. The Dream Team VI, chini ya kocha maarufu Samson Siasia wamenusurika baada ya ndege yao kupata hitilafu angani na kulazimika kushuka Ghana...

Samson Siasia, Kocha wa vijana U-23
Timu hiyo ilikuwa inaelekea Gambia kujitayarisha na mashindano ya Africa U-23...Bofya hapa upate bahari zaidi.