Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Nani. Show all posts
Showing posts with label Nani. Show all posts
Sunday, 15 March 2026
Wednesday, 6 July 2016
VALENCIA: NANI AINGIA VALENCIA AKITOKEA FERNEBAHCE
Forward wa zamani wa Manchester United, Nani, amesaini mkataba wa miaka 3 na Valencia...Valencia ndio waliotoa habari hizi na kusema wamelipa £7.2 millions kunyakua Nani...Stoke City walikuwa wanataka kumrudisha Nani kwenye English Premiership...Nani amechezea timu za Sporting CP, Manchester United na Fernebahce...Bofya hapa upate habari zaidi.
Thursday, 28 November 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)


