Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Mino Riola. Show all posts
Showing posts with label Mino Riola. Show all posts
Saturday, 30 April 2022
Thursday, 6 July 2017
Sunday, 24 July 2016
PAUL POGBA: AGENT WA POGBA YUKO MBIONI KUKAMILISHA UHAMISHO WA POGBA KURUDI TENA MANCHESTER UNITED KWA DAU LA £110 MILIONI
Habari zinazoingia kutoka Miami ni kwamba Agent wa Paul Pogba, Mino Raiola, ameingia Miami kuongea na Pogba kuhusu taratibu za mkataba mpya ambao utaona Pogba anapata £290,000 kwa wiki ikiwa ni pamoja na nyongeza za bonus...
Dili la Pogba ni £110 milioni na limeanza kusukwa muda mrefu...Pogba alianza kuichezea Manchester United kabla ya kupewa free transfer kwenda Juventus miaka 4 iliyopita...Juve nao wametoka kumchukua Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)



