Showing posts with label Michael Rotich. Show all posts
Showing posts with label Michael Rotich. Show all posts

Monday, 8 August 2016

RIO 2016: CHIEF WA WANARIADHA WA KENYA ARUDISHWA NYUMBANI KUTOKANA NA TUHUMA ZA RUSHWA


Michael Rotich amerudishwa nyumbani kutoka Brazil kutokana na tuhuma za rushwa...Inasemekana Rotich aliomba £10,000 kwa watu waliojifanya wanataka habari za utumiaji wa madawa ya kuongeza nguvu...Kuna ushahidi wa video kuhusu sakata hili la Rotich...Chama cha kuzuia matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu WADA wamesema uchunguzi ufanyike haraka...Bofya hapaupate habari zaidi.