Showing posts with label China Media Company. Show all posts
Showing posts with label China Media Company. Show all posts

Tuesday, 1 December 2015

MANCHESTER CITY: WACHINA WANUNNUA ASILIMIA 13 YA MAN CITY



Investors kutoka China wamenunua asilimia 13 ya Manchester City...Asilimia hiyo ni sawa na pounds za Uingereza milioni 265...Manchester City ni club ya thamani ya bilioni 3 dola za Marekani...Wachina walionunua hisa za Man City ni CMC (China  Media Capital) na Citic Capital...


Ujio wa wachina hao utasaidia kukua kwa soka la Uingereza maeneo mengi hususan huko Asia...Bofya hapa upate habari zaidi.