Wednesday 3 August 2016

WORLD RALLY CHAMPIONSHIP: M-SPORT WAANZA KUJARIBU GARI MPYA KWA MSIMU WA 2017


Timu ya M-Sport imeanza kujaribisha gari yao mpya kwa ajili ya msimu wa 2017...Ford Fiesta ndio gari yao ambayo wataitumia na haitofautiani sana na gari ya hapo nyuma...Team principal na mmiliki wa M-Sport mwenyewe, Malcom Wilson, ndiye aliyeanza kujaribisha hiyo Fiesta mpya ndani ya eneo lao la M-Sport la Greyforest...Wilson amesema ni gari nzuri na ni bei mbaya kuitengeneza lakini imetulia na wamejitahidi kuisuka vyema...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment