Wednesday 3 August 2016

CHELSEA: BABA RAHMAN APELEKWA SHALKE KWA MKOPO WA MSIMU


Ghana international, Baba Rahman, anaingia Shalke kwa mkopo wa msimu mzima...Dogo mweney umri wa miaka 22 alikuwa anaichezea Augsburg kabla ya kuingia Chelsea kwa mkataba wa miaka 5...Akiwa Augsburg alicheza mechi 51 na sasa anaungana na kocha wake wa zamani Marcus Weinzierl ambae sasa anaendesha Shalke...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment