Sunday 7 August 2016

INTERNATIONAL CHAMPIONS CUP: LIVERPOOL YAIGARAGAZA VIBAYA SANA BARCELONA


Liverpool waipeleka shule ya mabao Barcelona kwa kuwachapa 4-0...Ilimchukua dakika 15 tu kwa kifaa kipya cha Liverpool, Sadio Mane, kutikisa wavu...Baada ya hapo Javier Mascherano alijifunga....Wengine waliofanya mambo ni David Origi na Marko Grujic...Barca walikuwa na nyota wao Luis Suarez na Lionel Messi...Ilikuwa mara ya kwanza Suarez anakutafuta na club yake ya zamani toka ahamie Barca mwaka 2014...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment