Thursday 2 June 2016

FRENCH OPEN 2016: SERENA WILLIAMS APOTEZA SET YA KWANZA LAKINI ASHINDA


Serena Williams amefanikiwa kushinda mechi yake ya robo fainali baada ya kuchapwa set ya kwanza lakini badae mambo yakaenda vizuri...Serena alishinda 5-7 6-4 6-1 na alitumia masaa 2 na dakika 9...Atakutana na Kiki Bertens nusu fainali Ijumaa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment