Friday 3 June 2016

BUNDESLIGA: PIERRE - EMERICK AUBEMEYANG MCHEZAJI BORA GERMANY


Pierre - Emerick Aubameyang anayetokea Gabon amekuwa mchezaji bora ligi kuu Germany...Bundesliga wamemchagua Aubameyang sticker hatari wa Borussia Dortmund ambae amemshinda kwa asilimia 0.2 Robert Lewandowski...Aubameyang amefunga mabao 39 na amekuwa mwafrika wa kwanza kushinda tuzi hiyo toka ianzishwe mwaka 1998...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment