Wednesday 1 June 2016

BASKETBALL: PROFILE NI MABINGWA WA KIKAPU MWANZA


Team ya Profile ni mabingwa wapya jijini Mwanza.


Profile waliwafunga mabingwa watetezi Bugando Planet 88-39 katika viwanja vya Bank of Tanzania (BoT).

Mechi ilikuwa ya upande mmoja ingawa Bugando walianza kwa makeke quarter ya kwanza lakini baada ya hapo watu wawili ambao ndio walioizamisha Bugando.

Fredrick Luyenze na Shaaban Bobo ndio walipachika vikapu vingi na kufanya game iwe rahisi kwa Profile...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment