Monday, 2 May 2016
MLS: ASHLEY COLE ATOLEWA NJE KWA KADI NDANI YA SEKUNDE 32
Ashley Cole mchezaji wa zamani wa Arsenal na Chelsea akitokea nje kwa 2 za njano ndani ya sekunde 32 kwenye mechi ya MLS katika ya LA Galaxy na Sporting Kansas...Mechi hiyo ilimalizika 1-1...Kisa change kadi ya kwanza ni kupoteza muda wakati wa kurusha mpira uliotoka na kadi ya 2 ya njano alipomkwatua Benny Feihaber...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment