Monday, 23 May 2016
COPA DEL REY: BARCELONA YAICHAPA SEVILLA 2-0 NA KUCHUKUA KOMBE LA 2
Barcelona imechukuwa kombe la Copa del Rey wakiwa na wachezaji 10 ndani ya uwanja wa Vincente Calderon wa Atletico Madrid...Kombe hili ni la 2 baada ya kushinda kombe la La Liga hivi karibuni...Ni mara ya 28 Barcelona wanashinda kombe la Copa del Rey...
Wafungaji walikuwa Jordi Alba na Neymar...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment