Wednesday 17 February 2016

MOROCCO: HERVE RENARD KOCHA MPYA MOROCCO


Herve Renard ni kocha mpya wa timu ya taifa ya Morocco...Anachukua timu kutoka kwa Badou Zaki...Renard alikuwa kocha wa zamani wa Ivory Coast na Zambia...Amezipeleka timu zote hizo katika fainali ya African Cup of Nations na kushinda kombe pia...Ivory Coast ilishinda kombe hilo mwaka 2015 na miaka 3 kabla Zambia ilichukua kombe...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment