Dogo Zach LaVine ambae ni rookie wa Minnesota Timberwolfs amejipatia jina kwenye mashindano ya Slam Dunk ambayo yalikuwa hayana majina makubwa...Dogo alipiga dunk hatari sana ya kupitisha mpira katikati ya miguu na kupiga dunk kali ambayo Michael Jordan aliipiga miaka ya nyuma ila dogo alienda juu zaidi...LaVine mwenye umri wa miaka 19 alivaa namba 23 mgongoni akimuenzi Michael Jordan...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 16 February 2015
NBA ALL-STAR: ZACH LAVINE AFANYA KWELI MASHINANO YA SLAM DUNK
Dogo Zach LaVine ambae ni rookie wa Minnesota Timberwolfs amejipatia jina kwenye mashindano ya Slam Dunk ambayo yalikuwa hayana majina makubwa...Dogo alipiga dunk hatari sana ya kupitisha mpira katikati ya miguu na kupiga dunk kali ambayo Michael Jordan aliipiga miaka ya nyuma ila dogo alienda juu zaidi...LaVine mwenye umri wa miaka 19 alivaa namba 23 mgongoni akimuenzi Michael Jordan...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment