![]() |
Vargas akipachika bao |
Spain jana ilivunja rekodi kuwa timu ya kwanza ambayo ni mabingwa watetezi kufungwa mechi mbili za mwanzo na kutolewa...Hii ilitokea katika uwanja wa Maracana baada ya kuchapwa 2-0 na Chile...Spain sasa umahiri wao kwa miaka 6 ndio umeisha... Chile walicheza vizuri sana na pia goli lao la kwanza lilikuwa la kiufundi sana na aliye funga alikuwa Eduardo Vargas kwenye dakika ya 20...
![]() |
Casillas akifungwa baada ya kutokuwa makini |
Chales Aranguiz alipachika bao la 2 mnamo dakika ya 43 baada ya Ike Casillas kutokuwa makini...Chile na Netherlands watasonga mbele kwenye mtoano...Bofya hapa usome zaidi....
No comments:
Post a Comment