![]() |
Hapa akimlisha uncle wake Rashid Mchujuko keki mwaka 2001 |
![]() |
Dogo akipiga pozi na uncle Rashid Mchujuko |
![]() |
Mambo ya QB...Akimruka mtu mbioni kufunga bao |
![]() |
Dogo Zongo a.k.a Bring the money home ameshinda mara kibao...Kabati limejaa balaa... |
![]() |
Yuko na timu yake hapa... |
![]() | ||
Akiwa na mshkaji wake baada ya gaame za Oil Bowl... |
![]() |
Hapa anajaribu kumtoka mpinzani... |
![]() | |
Hapa yuko na uncle Rashid Mchujuko ambae alimlea dogo Marekani... |
![]() | |||
Rashid na Zongo alipotembele Tanzania mwaka jana... |
![]() | |||||
Timu ya Zongo inaitwa Panther...Wanamtegemea sana Zongo kama QB (Quarterback) |
Picha zimetolewa kwa hisani ya Rashid Mchujuko...
No comments:
Post a Comment