Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Moshi Rally. Show all posts
Showing posts with label Moshi Rally. Show all posts
Monday, 21 March 2016
VAISAKHI RALLY 2016: USIKOSE RALLY KALI JIJINI MOSHI
Vaisakhi Rally (National Championship Rally Part II) itafanyika Moshi Jumapili kuanzia asubuhi saa 1 na nusu mpaka saa 11 na nusu...Rally itaanzia Sikh Union Club...Usikose Rally kali na kusisimua balaa....Karibu wote...
Thursday, 28 January 2016
NATIONAL RALLY CHAMPIONSHIP: RALLY YA TANGA YAFUTWA
Rally ambayo ilikuwa ifungue msimu imefutwa...Chama cha magari nchini Automobile Association of Tanzania (AAT) kimetangaza kuwa Rally ya Tanga imefutwa kutokana na uongozi wa Rally Tanga haujajipanga vizuri na haukufuata masharti ya chama hicho...Rais wa AAT, Nizar Jivani, amesema Tanga wanaweza kuandaa Club Rally na watapata ushirikiano wote na sasa National Rally itaanzia Moshi, Kilimanjaro March...Rais wa chama cha Rally Kilimanjaro, Fahim Aloo, amesema wako tayari kuwa wenyeji wa mashindano hayo na maadalizi yamepamba moto...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)

