Showing posts with label Craig Breen. Show all posts
Showing posts with label Craig Breen. Show all posts

Thursday, 13 April 2023

CRAIG BREEN PASSES AWAY IN TESTING ACCIDENT | THE HYUNDAI DRIVER LOST HIS LIFE ON THURSDAY MORNING DURING HIS PRE-EVENT CROATIA TEST

 

Hyundai Motorsport driver Craig Breen has been killed in a testing accident ahead of next week’s Croatia Rally.

The Irishman went off the road between Stari Golubovac and Lobora. The front-left of the Hyundai i20 N Rally1 collided with a pole fatally injuring the 33-year-old.

Thursday, 4 August 2016

RALLY OF FINLAND: KRIS MEEKE AMEKUWA MTU WA KWANZA KUTOKA UK KUSHINDA RALLY YA FINLAND


Kris Meeke akiwa ndani ya Citroen DS 3 alifanikiwa kushinda rally kali ya Finland ya siku 4...Amekuwa pia mtu wa kwanza kutoka UK kushinda rally hiyo...Alimaliza sekunde 29.1 mbele ya mkali ambae ameshinda hapo mara 3 Latvala ambae alikuwa ndani ya VW Polo-R...

Meeke
Anayeongoza mashindano ya dunia ya rally Sebastien Ogier alikata tamaa baada ya kutoka nje ya barabara mwanzoni na akamaliza nafasi za chini lakini bado anaongoza kwa ujumla...

Neuville
Craig Breen alichukua nafasu ya 3 akiwa pia na Citroen DS 3...Katika mashindano ya dunia baada Sebastian Ogier wa France mwenye points 143 anafuatia Andreas Mikkelsen wa Norway na points 98...

Latvala
Wa 3 ni Jria-Matti Latvala na points 87...Bofya hapa upate habari zaidi.