Wednesday 3 August 2016

SWANSEA FC: EVERTON YAKATALIWA DAU LA MILIONI 10 POUNDS KUMCHUKUA ASHLEY WILLIAMS


Swansea wamekataa dau la milioni 10 pounds kutoka Everton kumnyakua captain wa Wales Ashley Williams...Contract yake beki wa kati Williams inaenda mpaka 2018...Aliingia Swansea akitokea Stockport mwaka 2008 kwa dau la 300,000 pounds...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment