Monday 8 August 2016

MANCHESTER UNITED: HATIMAYE POGBA SASA NDANI YA OLD TRAFFORD


Tetesi zimekuwa nyingi sana mpaka watu walidhani ni story tu lakini kwa Manchester United pesa sio issue kwani sasa Pogba anatarajiwa kupata ushauri wa daktari ili atangazwe rasmi kuwa mchezaji wa Manchester United...Pogba anaingia Manchester United kwa dau la £89 milioni pamoja na nyongeza za badae kutokana na jinsi atakavyocheze...Amekuwa mchezaji wa bei mbaya kuliko Gareth bale alivyoingia Real Madrid kwa dau la £85 milioni...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment